KISWAHILI: Makala na Bidhaa zote

Sisi ni Wasambazaji Bora wa Pembejeo za KIlimo na Mifugo Tanzania
Kampuni ya BareFoot International ni kampuni ya kilimo biashara iliyosajiliwa Tanzania kwa lengo la kufanya miashara ya pembejeo za kilimo na mifugo kama vile mbolea, mbegu, dawa za kilimo na mifugo pamoja na zana na mashine. Namba ya usajili ni 128811, 2016.

Karibu BareFoot international limited. Furahia kusoma makala mbalimbali kuhusu kilimo na mifugo. Unaweza piakupata pembejeo za kilimo na mifugo.

CleanUp (Glyphosate 480SL): Dawa ya Kuua Mimea ya Magugu kwa Ufanisi wa Hali ya Juu

Karibu wakulima na wadau wa kilimo nchini Tanzania! Leo, tungependa kuzungumza kuhusu “CleanUp,” dawa ya kuua mimea ya magugu yenye wigo mpana sana. CleanUp ni bidhaa ya kisasa ya kisasa inayotolewa na BareFoot International Ltd, na inaweza kutumika katika maeneo yote ya Tanzania. Utangulizi: CleanUp ni dawa ya kuua mimea ya magugu inayopakwa kwenye majani

CleanUp (Glyphosate 480SL): Dawa ya Kuua Mimea ya Magugu kwa Ufanisi wa Hali ya Juu Read More »

Tatizo la wadudu waharibifu shambani ni moja ya changamoto kubwa ya wakulima wa mazao yote. Tatizo hili limekua likipunguza wingi na ubora wa mazao na kuleta hasara katika kilimo. Zifuatazo ni mbinu zinazoweza kukusaidia kukabiliana na wadudu waharibifu shambani.

Jinsi ya kupambana na wadudu waharibifu shambani na kupunguza hasara

Tatizo la wadudu waharibifu shambani ni moja ya changamoto kubwa ya wakulima wa mazao yote. Tatizo hili limekua likipunguza wingi na ubora wa mazao na kuleta hasara katika kilimo. Zifuatazo ni mbinu zinazoweza kukusaidia kukabiliana na wadudu waharibifu shambani.

Jinsi ya kupambana na wadudu waharibifu shambani na kupunguza hasara Read More »

Master Grower: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kwa ajili ya kukuzia

Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10. Master Grower inachochea ukuaji wa mimea, inaboresha ubora wa mazao na kuongeza mavuno.

Master Grower: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kwa ajili ya kukuzia Read More »

Master Fruiter: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kuongeza uzalishaji wa matunda na maua

Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40. Master Fruiter inachochea ukuaji wa maua na matunda na kuongeza ubora wa mazao.

Master Fruiter: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kuongeza uzalishaji wa matunda na maua Read More »

Master Kutu: Dawa ya kutibu na kukinga ukungu kwenye nyanya, vitunguu, tikiti, viazi, maharage, mboga mboga nakadhalika

Master Kutu ni dawa ya kutibu na kukinga magonjwa ya ukungu, kuvu na kutu katika mazao mbalimbali hasa mbogamboga. Master Kutu inatibu aina zote za ukungu na kuvu bila kuchagua.

Master Kutu: Dawa ya kutibu na kukinga ukungu kwenye nyanya, vitunguu, tikiti, viazi, maharage, mboga mboga nakadhalika Read More »

Shopping Cart
0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    Call Us Now...!