Dawa bora ya kuondoa magugu shambani

Welcome BareFoot International Ltd
Our Products
We distribute and sell Agricultural inputs in all regions of Tanzania. We have herbicides, fungicides, fertilizers, insecticides, seeds and tools as well as equipment.
Agricultural Consulting Services
We provides business and technical advice and support to farmers and persons or companies which engage in selling and distribution of agricultural inputs as well as agriculture production.
About Us
BareFoot International is an agribusiness company registered in Tanzania for the purpose of merchandising all agricultural inputs including fertilizers, seeds, agrochemicals and farm equipment.
Karibu BareFoot International Ltd
Bidhaa Zetu
Sisi ni Wauzaji na Wasambazaji wa pembejeo za Kilimo na Mifugo. Tunatoa huduma na bidhaa zetu mikoa yote ya Tanzania.
Msaada na Ushauri Kuhusu Kilimo na Mifugo
Tunatoa msaada na ushauri wa kitaalamu kwa wakulima na kwa watu au makampuni yanayojihusisha na uuzaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo pamoja na uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo
Kuhusu Sisi
Kampuni ya BareFoot International ni kampuni ya kilimo biashara iliyosajiliwa Tanzania kwa lengo la kufanya biashara ya pembejeo za kilimo na mifugo kama vile mbolea, mbegu, dawa za kilimo na mifugo pamoja na zana na mashine.