Master Grower: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kwa ajili ya kukuzia

View Products

Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus  na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10.

Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10.

Master Grower inachochea ukuaji wa mimea, inaboresha ubora wa mazao na kuongeza mavuno.

Kama unahitaji Master Grower, bofya kitufe kilichoandikwa “WhatsApp Message” au “Piga simu” kuwasiliana na sisi sasa.


MASTER GROWER NPK 30-10-10 imetengenezwa na viambata vyenye ubora wa hali ya juu. inayeyuka kwenye maji kwa asilimia 100, inafaa kutumia kwa mazao yote. Mbali na NPK, mbolea hii ina madini mengine muhimu kwa matunda, mboga, mazao ya mafuta, nafaka, miche na mazao ya kwenye green house.

Master Grower ni mbolea (booster/busta) mahususi kwa kunyunyiza kwenye majani na kwenye mfumo wa umwagiliaji fertigation.

SIFA ZA MASTER GROWER

Muonekano: Mbolea ya Unga

Uyeyukaji: Inayeyuka kwenye maji
Viambata : Ammonium Nitrate, Mono Potassium Phosphate, Potassium Nitrate, Urea and Iron, Copper, Manganese & Zinc EDTA, Borax.

MAELEKEZO YA MATUMIZI

Kwa matumizi sahihi wasiliana na muuzaji wetu kwa matumizi kulingana na zao husika

SAIZI YA PAKITI

Gramu 500, Kilogramu 1, Kilogramu 5 , Kilogramu 10, Kilogramu 1000. Saizi nyingine pia zinapatikana kulingana na uhitaji.

JINSI YA KUTUMIA

Inaweza kutumika kunyunyiza kwenye majani kwa mchanganyiko wa lita 1000 kwa hecta au ku pitia fertigation/nutrigation kwa mfuatano wa siku 14.

Kunyunyizakwenye majani: Tumia 2.5kg/Ha kwenye maji lita 1000 (50g/20L ya maji)

Fertigation: Tumia 5kg/Ha kwenye lita 1000L (100g/20L ya maji)

TAHADHARI NA NAMNA YA KUHIFADHI

• Haifai kwa atumizi yoyote yasiyo ya kilimo.
• Ihifadhiwe kwenye kifungashio chake halisi.
• Weka sehemu isiyo na jua, unyevu wala joto kali.
• Weka mbali na watoto.
• Zingatia kutupa kifungashio sehemu stahiki mara baada ya matumizi.

Kufahamu zaidi kuhusu Master Grower, bofya moja kati ya vitufe vifuatavyo kuwasiliana nasi sasa.

View Products

Shopping Cart
0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    Call Us Now...!