Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40. Master Fruiter inachochea ukuaji wa maua na matunda na kuongeza ubora wa mazao. ...
Master Kutu ni dawa ya kutibu na kukinga magonjwa ya ukungu, kuvu na kutu katika mazao mbalimbali hasa mbogamboga. Master Kutu inatibu aina zote za ukungu na kuvu bila kuchagua. ...
Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10. Master Grower inachochea ukuaji wa mimea, inaboresha ubora wa mazao na kuongeza mavuno. ...
We distribute and sell Agricultural inputs in all regions of Tanzania. We have herbicides, fungicides, fertilizers, insecticides, seeds and tools as well as equipment.
We provides business and technical advice and support to farmers and persons or companies which engage in selling and distribution of agricultural inputs as well as agriculture production.
BareFoot International is an agribusiness company registered in Tanzania for the purpose of merchandising all agricultural inputs including fertilizers, seeds, agrochemicals and farm equipment.
Tunatoa msaada na ushauri wa kitaalamu kwa wakulima na kwa watu au makampuni yanayojihusisha na uuzaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo pamoja na uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo
Kampuni ya BareFoot International ni kampuni ya kilimo biashara iliyosajiliwa Tanzania kwa lengo la kufanya biashara ya pembejeo za kilimo na mifugo kama vile mbolea, mbegu, dawa za kilimo na mifugo pamoja na zana na mashine.