Mbolea nzuri za kupiga kwenye majani (booster/busta)

Kampuni ya BareFoot International Limited inauza mbolea anina ya Master Grower na Master Fruiter zinazotumika kupiga au kunyunyiza kwenye majani au kuchanganywa na maji kwenye mfumo wa umwagiliaji (fertigation).

Master Grower na Master Fruiter ni aina ya mbolea maalumu kwa ajili ya kupiga kwenye majani, inanyunyizwa moja kwa moja kwenye majani ya mazai. Mbolea hizi zimeundwa na mchanganyiko maalumu unaoyeyuka kwenye maji kwa sailimia 100. Mbolea hizi zinafanya kazi vizuri kwenye mazao ya mbogamboga na matunda.

Master Grower na Master Fruiter zinatumika pia katika mfumo wa umwagiliaji (fertigation).

Master Grower ni mbolea maalumu kwa ajili ya kukuzia. Mbolea hii inasaidia mmea kukua vizuri, kuongeza ubora na wingi wa mazao.

Master Fruiter ni mbolea maalumu kwa ajili ya kuchochea ukuaji wa maua na matunda. Mbolea hii inaongeza wingi wa matunda na maua pamoja na kupunguza kuanguka kwa matunda na maua.

Master Fruiter: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kuongeza uzalishaji wa matunda na maua

Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40. Master Fruiter inachochea ukuaji wa maua na matunda na kuongeza ubora wa mazao...

Master Grower: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kwa ajili ya kukuzia

Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10. Master Grower inachochea ukuaji wa mimea, inaboresha ubora wa mazao na kuongeza mavuno...
Shopping Cart
0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    Call Us Now...!