Dawa nzuri ya kuandaa shamba lako kwa ajili ya kilimo

View Products

Leo nime kuandalia dawa nzuri ya kuua magugu inayoitwa Clean UP.

Clean UP ni dawa ya kuua magugu kiuagugu kisichochambua magugu ambayo tayari yamekwishachomoza ardhini
Clean UP ni dawa ya kuua magugu kiuagugu kisichochambua magugu ambayo tayari yamekwishachomoza ardhini. Clean UP inafyonzwa kupitia sehemu za kijani za mimea na inaua magugu kwa kuharibu mfumo wa uzalishaji wa protini. Clean UP ina ufanisi wa hali ya juu kudhibiti magugu sumbufu yaliyo na usugu kwenye viuagugu vingine.

Clean Up ni dawa ya kuua magugu inayodhibiti magugu sugu ya msimu na yale yaotayo mwaka mzima kwenye mazao ya aina mbalimbali. Dawa ya Clean UP ni maalumu kwa kuandaa shamba kabla ya kupanda.

Dawa hii inanyunyizwa kwenye majani yanayoendelea kuota. Dawa ya Clean UP inafyonzwa kupitia sehemu za kijani za mimea na inaua magugu kwa kuharibu mfumo wa uzalishaji wa protini.

Clean UP ina ufanisi wa hali ya juu kudhibiti magugu sumbufu yaliyo na usugu kwenye dawa nyingine za magugu.

Soma zaidi kuhusu dawa hii na jinsi ya kuipata hapa

View Products

Shopping Cart
Call Us Now...!