Msaada na Ushauri wa Kitaalamu Kuhusu Kilimo na Mifugo

BareFoot International Agricultural Consulting Services

Tunatoa msaada na ushauri wa kitaalamu kwa wakulima

Tunashauri pia watu au makampuni yanayojihusisha na uuzaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo pamoja na uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo

Malengo ya huduma ya ushauri na msaada

Kusaidia wakulima na wauzaji kuelewa kuhusu mbolea, udongo na vyote vinavyohusika na uzalishaji

Kushauri wakulima na wasimamizi wa kilimo kuhusu mbinu za kuongeza uzalishaji wa mazao namifugo, na mbinu mbadala za kilimo na mifugo

Kushauri wakulima na wafugaji kuhusu mambo mbalimbali kama vile, magonjwa, wanyama na wadudu vamizi, magugu, udongo pamoja na ulishaji wa mifugo.

Kushauri kuhusu usimamizi na matumizi ya pembejeo za kilimo na mifugo

Tunatoa ushauri na msaada kwenye;

1) Aina bora za mbegu za kutumia

2) Jinsi ya kuboresha rutuba ya udongo, matumizi ya mbolea, matumizi ya dawa za kuua wadudu na matumizi ya kila kitu kinachotumika shambani

3) Njia bora za kutunza na kulisha mifugo

4) Njia mbadala za kilimo na mifugo. Mfano za kiorganic

5) Mashine za kilimo na nyumba/majengo

6) Afya na usalama katika kilimo

7) Wadudu na Magonjwa ya mazao

8) Jinsi ya kupanga biashara ya kilimo na bajeti

Shopping Cart
0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    Call Us Now...!