Bidhaa za Kilimo

Master Fruiter: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kuongeza uzalishaji wa matunda na maua

Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40. Master Fruiter inachochea ukuaji wa maua na matunda na kuongeza ubora wa mazao...

Clean Up: Dawa ya kuua magugu aina zote, nzuri kwa ajili ya kuandaa shamba

Clean Up ina ufanisi wa hali ya juu kutibu magugu sugu yaliyo na usugu kwenye viuagugu vingine.

Inadhibiti magugu sugu ya msimu na yale yaotayo mwaka mzima kwenye mazao ya aina mbalimbali...

Master Kutu: Dawa ya kutibu na kukinga ukungu kwenye nyanya, vitunguu, tikiti, viazi, maharage, mboga mboga nakadhalika

Master Kutu ni dawa ya kutibu na kukinga magonjwa ya ukungu, kuvu na kutu katika mazao mbalimbali hasa mbogamboga. Master Kutu inatibu aina zote za ukungu na kuvu bila kuchagua...

Nozzle Njia Moja: Spea za Mabomba ya Kupiga sumu

To find more about Knapsack Sprayer Nozzle One way, click one of the following buttons to contact us now. Spea nyingine za Mabomba ya Kunyunyiza dawa...

Master Grower: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kwa ajili ya kukuzia

Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10. Master Grower inachochea ukuaji wa mimea, inaboresha ubora wa mazao na kuongeza mavuno...

Indomectin 200SC: Dawa nzuri ya kuua wadudu waharibifu kwenye mazao

Indomectin 200EC ni dawa ya kuua wadudu waharibifu kwenye mazao mbalimbali hasa mpunga, nafaka na mazao ya mbogamboga...
Shopping Cart
0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    Call Us Now...!