Karibu Barefoot International Limited

Slide 1
Image is not available

BareFoot International Limited ni kampuni ya kilimo biashara ya Tanzania inayojihusisha na biashara ya pembejeo za kilimo na mifugo ikijumuisha mbolea, mbegu, madawa, zana pamoja na mashine.

Slide 2
Maeneo kampuni Inapofanyia Kazi
Image is not available

Kampuni yetu inafanya kazi mikoa yote ya Tanzania, ina Ofisi rasmi Arusha, Mbeya, Mwanza na Morogoro.

Slide 3
Image is not available

Tunauza pembejeo zote za kilimo na mifugo ikiwa ni pamoja na mbolea, mbegu, viuagugu, viuadudu, viuakuvu pamoja na zana na mashine.

previous arrowprevious arrow
next arrownext arrow

Kiuagugu

Clean UP ni dawa ya kuua magugu kiuagugu kisichochambua magugu ambayo tayari yamekwishachomoza ardhini

Kiuakuvu na Kiuadudu

Indomectin 200EC ni dawa ya kuua wadudu waharibifu kwenye mazao mbalimbali hasa mpunga, nafaka na mazao ya mbogamboga

mbolea

Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10.
Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40

mbegu za Mbogamboga

Vifaa na zana za Kilimo na Mifugo

Wasiliana na BareFoot International Limited

  To verify that you are human, solve this

  Sisi ni Wasambazaji Bora wa pembejeo za kilimo na mifugo Tanzania

  X
  0
   0
   Your Cart
   Your cart is emptyReturn to Shop
   × Click here to chat with us