Matawi au Ofisi za Kampuni

Kampuni yetu ya BareFoot International Limited inafanya kazi mikoa yote Tanzania ikijumuisha; Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Geita Iringa Kagera, Katavi, Kigoma, Kilimanjaro, Lindi, Manyara, Mara, Mbeya, Mjini Magharibi, Morogoro, Mtwara, Mwanza, Njombe, Pemba Kaskazini, Pemba Kusini, Pwani, Rukwa, Ruvuma, Shinyanga, Simiyu, Singida, Songwe, Tabora, Tanga, Unguja Kaskazini na Unguja Kusini.

Ofisi zetu kuu zipo Arusha, Mbeya, Mwanza na Morogoro.

Ofisi kuu Arusha

Mikoa inayohudumiwa: Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Singida and Tanga.

Mahali Ofisi ilipo: SunFlag Factory Area, Unga Limited, Arusha

Mawasiliano:

+255 787 365 946

arusha@bfi.co.tz

Ofisi ya tawi la Mbeya

Mikoa inayohudumiwa: Iringa, Katavi, Lindi, Mbeya, Mtwara, Njombe, Rukwa, Ruvuma and Songwe.

Mahali Ofisi ilipo: Mbeya Mjini

Mawasiliano:

+255 754 374 177

mbeya@bfi.co.tz

Ofisi ya tawi la Mwanza

Mikoa inayohudumiwa: Geita, Kagera, Katavi, Kigoma, Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu and Tabora.

Mahali Ofisi ilipo: Mwanza Mjini

Mawasiliano:

+255 753 622 408

mwanza@bfi.co.tz

Ofisi ya tawi la Morogoro

Mikoa inayohudumiwa: Dar es Salaam, Dodoma, Mjini Magharibi, Morogoro, Pemba North, Pemba South, Pwani, Unguja North and Unguja South.

Mahali Ofisi iliko: Morogoro Mjini

Mawasiliano:

+255 717 365 946

morogoro@bfi.co.tz

Sisi ni wasambazaji bora wa pembejeo za kilimo Tanzania

Shopping Cart
0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    Call Us Now...!