Clean Up: Dawa ya kuua magugu aina zote, nzuri kwa ajili ya kuandaa shamba

Clean Up ina ufanisi wa hali ya juu kutibu magugu sugu yaliyo na usugu kwenye viuagugu vingine.

Inadhibiti magugu sugu ya msimu na yale yaotayo mwaka mzima kwenye mazao ya aina mbalimbali.