Nafasi za Kazi katika Kampuni ya BareFoot International Limited

Karibu BAREFOOT Int’l

Asnte kwa kutamani kufanya kazi nasi

Kwa sasa hakuna nafasi za kazi. Japokua, ni matamanio yetu kupata wafanyakazi bora wenye ustadi na uelewa katika timu yetu.

Tafadhali tembelea ukurasa huu hapo baadae kwa ajili ya kupata habari zaidi kuhusu nafasi za kazi


BareFoot International Limited inalenga kujenga uwezo wa wafanyakazi kwa kuboresha ustadi na maendeleo ya mtu binafsi.

Kama ungependa kupendekezwa kwenye nafasi za kazi zijazo usisite kuwasiliana nasi. Tunapendelea kupata watu wenye ujuzi katika maswala ya kilimo, hasa kilimo biashara.

Shopping Cart
Call Us Now...!