Mbolea za kunyunyiza ni suluhisho la haraka la upungufu wa virutubisho katika mazao yako.
Ili upate matokeo mazuri wakati wa kunyunyiza mbolea ya maji unatakiwa kutumia mbolea hizi na kufuata vigezo vifuatavyo:
Tatizo la wadudu waharibifu shambani ni moja ya changamoto kubwa ya wakulima wa mazao yote. Tatizo hili limekua likipunguza wingi na ubora wa mazao na kuleta hasara katika kilimo. Zifuatazo ni mbinu zinazoweza kukusaidia kukabiliana na wadudu waharibifu shambani.
Clean Up ni dawa ya kuua magugu inayodhibiti magugu sugu ya msimu na yale yaotayo mwaka mzima kwenye mazao ya aina mbalimbali. Dawa ya Clean UP ni maalumu kwa kuandaa shamba kabla ya kupanda.
We distribute and sell Agricultural inputs in all regions of Tanzania. We have herbicides, fungicides, fertilizers, insecticides, seeds and tools as well as equipment.
We provides business and technical advice and support to farmers and persons or companies which engage in selling and distribution of agricultural inputs as well as agriculture production.
BareFoot International is an agribusiness company registered in Tanzania for the purpose of merchandising all agricultural inputs including fertilizers, seeds, agrochemicals and farm equipment.
Tunatoa msaada na ushauri wa kitaalamu kwa wakulima na kwa watu au makampuni yanayojihusisha na uuzaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo pamoja na uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo
Kampuni ya BareFoot International ni kampuni ya kilimo biashara iliyosajiliwa Tanzania kwa lengo la kufanya biashara ya pembejeo za kilimo na mifugo kama vile mbolea, mbegu, dawa za kilimo na mifugo pamoja na zana na mashine.