Bidhaa Zote

Sisi ni Wasambazaji Bora wa Pembejeo za KIlimo na Mifugo Tanzania

Zifuatazo ni bidhaa bora za pembejeo za kilimo na mifugo nchini Tanzania, zinazosambazwa na Kampuni ya BareFoot International Limited ambazo ni muhimu kwako kama mkulima na mfugaji

Master Grower: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kwa ajili ya kukuzia

Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10. Master Grower inachochea ukuaji wa mimea, inaboresha ubora wa mazao na kuongeza mavuno.

Master Grower: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kwa ajili ya kukuzia Read More »

Master Fruiter: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kuongeza uzalishaji wa matunda na maua

Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40. Master Fruiter inachochea ukuaji wa maua na matunda na kuongeza ubora wa mazao.

Master Fruiter: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kuongeza uzalishaji wa matunda na maua Read More »

Master Kutu: Dawa ya kutibu na kukinga ukungu kwenye nyanya, vitunguu, tikiti, viazi, maharage, mboga mboga nakadhalika

Master Kutu ni dawa ya kutibu na kukinga magonjwa ya ukungu, kuvu na kutu katika mazao mbalimbali hasa mbogamboga. Master Kutu inatibu aina zote za ukungu na kuvu bila kuchagua.

Master Kutu: Dawa ya kutibu na kukinga ukungu kwenye nyanya, vitunguu, tikiti, viazi, maharage, mboga mboga nakadhalika Read More »

Shopping Cart
0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    Call Us Now...!