Master Kutu: Dawa ya kutibu na kukinga ukungu kwenye nyanya, vitunguu, tikiti, viazi, maharage, mboga mboga nakadhalika

View Products

Master Kutu is a protective and curative broad spectrum systemic fungicide

Master Kutu ni dawa ya kutibu na kukinga magonjwa ya ukungu, kuvu na kutu katika mazao mbalimbali hasa mbogamboga.

Master Kutu inatibu aina zote za ukungu na kuvu bila kuchagua.

Kama unahitaji Master Kutu, bofya WhatsApp Message au Piga simu kuwasiliana nasi


Viambato

Master Kutu ina viambato viwili vikuu, Mancozeb and Cymoxanil, (Mancozeb 640g/kg + Cymoxanil 80g/kg).

Mancozeb inatumika kudhibiti kutu na kuvu kwenye mbogamboga, matunda na nafaka. Inadhibiti “potato blight, leaf spot, scab and rust”. Inatumika pia kutibu/kutunza/kuhifadhia mbegu/vipandikizi vya mazao.

Cymoxanil inazuia ni kiua kuvu kinachonyunyizwa kwenye majani ambacho kinatibu na kukinga kuvu itokanayo na kundi la Peronosporales ikijumuisha Plasmopara, Phytophthora na Peronospora kwenye nyanya in tomatoes, tumbaku, zabibu, viazi mviringo, tango na tikiti cucurbits.

Maelezo ya kutumia

Wakati mzuri wa kunyunyiza dawa ya Master Kutu ni asubuhi au jioni.

Nyunyiza wakati hakuna upepo ili kurahisisha dawa kushika kwenye majani na kupunguza upotevu wa sumu. Usinyunyize wakati wa mvua.

Jinsi ya Kuhifadhi

Hifadhi katika chombo chake cha asili, kwenye eneo kavu lenye hewa ya kutosha na joto lisilozidi sentigredi 38.

Kufahamu zaidi kuhusu Master Kutu, bofya moja kati kati ya vitufe vifuatavyo kuwasiliana nasi.

View Products

Shopping Cart
0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    Call Us Now...!