Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40.
Master Fruiter inachochea ukuaji wa maua na matunda na kuongeza ubora wa mazao.
Kama umevutiwa na Master Fruiter, bofya palipoandikwa “WhatsApp Message” au “Piga simu” kuwasiliana nasi sasa.
Master Fruiter NPK 10-10-40 ni mbolea ya kupiga kwenye majani yenye kiwango kikubwa cha Potasium na virutubisho vya ziada vilivyochakatwa na kuungwa kikabonia (chelated) ambayvo vinaupa nguvu mmea kutumia virutubisho vingine ipasavyo na kuongeza mazao
Master Fruiter ina virutubisho vilivyo katika uwiano mzuri, inayeyuka kwenye maji kwa asilimia 100. Ni salama kwa matumizi na haina homoni.
Master Fruiter ni mahususi kwa fertigation kunyunyiza kwenye majani.
MAELEZO YA MATUMIZI
Kwa matumizi sahihi wasiliana na muuzaji wetu kwa matumizi kulingana na zao husika
SAIZI YA PAKITI
Gramu 500, Kilogramu 1, Kilogramu 5 , Kilogramu 10, Kilogramu 1000. Saizi nyingine pia zinapatikana kulingana na uhitaji.
NAMNA YA KUTUMIA
Inaweza kutumika kunyunyiza kwenye majani kwa mchanganyiko wa lita 1000 kwa hecta au ku pitia fertigation/nutrigation kwa mfuatano wa siku 14.
TAHADHARI
• Usiweke mbolea hii juani, kwenye unyevu, na kwingineko kunakoweza haribu ufanisi wake.
• Iwekwe kwenye kifunagshio chake halisi.
• Weka mbali na watoto.
• Fuata utaratibu wa uchanaganyaji.
• Usitupe hovyo kifungashio baada ya matumizi.
• Ni kwa matumizi ya kilimo tu
Kufahamu zaidi kuhusu Master Fruiter, bofya moja kati ya vitufe vifuatavyo kuwasiliana nasi sasa.