Mbolea za Kunyunyiza

Sisi ni Wasambazaji Bora wa Pembejeo za KIlimo na Mifugo Tanzania

Kuna mambo mengi ya muhimu kuhusu mbolea za kunyunyuzia ambayo ni muhimu kujua. Zifuatazo ni makala kuhusu mbolea za kunyunyuzia unazopaswa kusoma wewe kama mkulima.

Master Fruiter: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kuongeza uzalishaji wa matunda na maua

Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40. Master Fruiter inachochea ukuaji wa maua na matunda na kuongeza ubora wa mazao.

Master Fruiter: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kuongeza uzalishaji wa matunda na maua Read More »

Shopping Cart
Call Us Now...!