Kampuni BareFoot International ina wawakilishi wanaofanya kazi mikoa yote Tanzania. Ofisi kuu zipo Arusha, Mbeya, Mwanza na Morogoro.
Kama unataka kuwasiliana nasi au kuonana na wawakilishi wetu chagua yeyote miongoni mwa hawa wafuatao aliyeko karibu na wewe.
Mauzo Arusha
Mikoa inayohudumiwa: Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Singida and Tanga.
Mawasiliano:
+255 754 875 268
arusha@bfi.co.tz
Mauzo Mbeya
Mikoa inayohudumiwa: Iringa, Katavi, Lindi, Mbeya, Mtwara, Njombe, Rukwa, Ruvuma and Songwe.
Mawasiliano:
+255 754 374 177
mbeya@bfi.co.tz
Mauzo Mwanza
Mikoa inayohudumiwa: Geita, Kagera, Katavi, Kigoma, Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu and Tabora.
Mawasiliano:
+255 753 622 408
mwanza@bfi.co.tz
Mauzo Morogoro
Mikoa inayohudumiwa: Dar es Salaam, Dodoma, Mjini Magharibi, Morogoro, Pemba North, Pemba South, Pwani, Unguja North and Unguja South.
Mawasiliano:
+255 717 365 946
morogoro@bfi.co.tz
Sisi ni wasambazaji bora wa pembejeo za kilimo Tanzania