Karibu BareFoot International Ltd

Utangulizi

Karibu BareFoot International Limited, Mahali unapoweza kupata Dawa mbalimbali za Wadudu/Viuadudu, Mbolea, Viuakuvu/Dawa za Ukungu, kutu na kuvu, Dawa za kuua magugu/Viuagugu, Mbegu Nakadhalika.

Karibu Usome kuhusu Bidhaa hizo zote hapa chini baada ya maelezo haya ya awali. Kwenye ukurasa huu unaweza kusoma kuhusu Bidhaa za BareFoot Ili kuzifahamu.

Vilevile Kupitia ukurasa huu unaweza kuwasiliana nasi kama utahitaji ufafanuzi wa Zaidi kuhusu Bidhaa Yoyote, na kama utahitaji kuweka oda ya Bidhaa Yoyote.

Unahakikishiwa kupata Bidhaa za uhakika na zenye Ubora, na tunapatikana Mikoa Yote Tanzania. Popote Ulipo unaweza kupata Bidhaa zetu.

Mawasiliano

Kwa maelezo Zaidi, maswali, na kujua namna ya kupata Bidhaa hizi, usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za Simu zifuatazo;

Piga Simu: +255 757 310 426

WhatsApp: +255 757 310 426

Email: info@bfi.co.tz

Bidhaa za BareFoot International Ltd

CleanUp

Glyphosate 480SL

Dawa Maalumu ya Kuua Magugu sumbufu. Dawa ya kuandalia Shamba.

Dawa hii inaangamiza Magugu Aina zote shambani. Sio Kwa ajili ya palizi.

MasterKutu 72WP

Mancozeb 640g/kg + Cymoxanil 80g/kg

Master Kutu ni dawa ya kutibu na kukinga magonjwa ya ukungu, kuvu na Kutu katika mazao mbalimbali kama vile nyanya, vitunguu, tikiti, viazi, nakadhalika 

Master Kutu inatibu aina zote za ukungu na kuvu bila kuchagua.

Indomectin 200EC

Emamectin Benzoate 40g/L + Indoxacarb 160g/L

Ni dawa maalumu kwa ajili ya kudhibiti wadudu sugu shambani – Kiboko ya Kantangaze

Hii ni dawa maalumu Kwa ajili ya kudhibiti wadudu wasumbufu shambani kwako.

BRAVO 20EC

Dawa hii inaua wadudu Kama vile kimamba, utitiri mweusi, mabaka meusi chini ya Majani, vipepeo weupe na wadudu wanaofyonza maua.

Dawa hii ina nguvu na uwezo wa kufanya kazi Muda mrefu kuulinda mmea/majengo dhidi ya wadudu waharibifu.

Dawa hii ni Maalumu Kwa kuangamiza mchwa kwenye viota na vichuguu.

GoldBan 505 EC

Hii ni dawa maalumu Kwa ajili ya kuua wadudu shambani na kwenye majengo/majumbani.

BareFoot Sprayer

BareFoot Sprayer ni Pump Imara na yenye Nguvu Maalumu kwa ajili ya kunyunyiza/kupuliza dawa mashambani, kwenye mifugo nakadhalika.

BareFoot Sprayer imetengenezwa kwa Muundo mzuri kwa kurahisisha ubebaji na upigaji wadawa.

BareFoot Sprayer ina dumu imara lisilopasuka kirahisi na linaloweza kudumu kwa muda mrefu.

MasterGrower

N:P:K 30:10:10

Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10.

Master Grower inachochea ukuaji wa mimea, inaboresha ubora wa mazao na kuongeza mavuno.

MasterGrower inawekwa kabla ya mmea kuanza kuweka maua na matunda.

MasterFruiter

N:P:K 10:10:40

Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40.

Master Fruiter inachochea ukuaji wa maua na matunda na kuongeza ubora wa mazao.

MasterFruiter inawekwa wakati Mmea unaweka maua na matunda.

Mikono ya Bomba

Kwa ajili ya Pumpu za Kunyunyizia Dawa shambani.

Shopping Cart
Call Us Now...!