Master Grower: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kwa ajili ya kukuzia

Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10. Master Grower inachochea ukuaji wa mimea, inaboresha ubora wa mazao na kuongeza mavuno.