Makala Kuhusu Busta (Booster)

Sisi ni Wasambazaji Bora wa Pembejeo za KIlimo na Mifugo Tanzania

Kuna mambo mengi ya muhimu kuhusu Busta (booster) ambayo ni muhimu kujua. Zifuatazo ni makala kuhusu busta (booster) unazopaswa kusoma wewe kama mkulima.

Master Grower: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kwa ajili ya kukuzia

Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10. Master Grower inachochea ukuaji wa mimea, inaboresha ubora wa mazao na kuongeza mavuno.

Master Grower: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kwa ajili ya kukuzia Read More »

Master Fruiter: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kuongeza uzalishaji wa matunda na maua

Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40. Master Fruiter inachochea ukuaji wa maua na matunda na kuongeza ubora wa mazao.

Master Fruiter: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kuongeza uzalishaji wa matunda na maua Read More »

Shopping Cart
Call Us Now...!