Master Fruiter: Mbolea ya kupiga kwenye majani (booster/busta) kuongeza uzalishaji wa matunda na maua

Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40. Master Fruiter inachochea ukuaji wa maua na matunda na kuongeza ubora wa mazao.